F fitonenendefu JF-Expert Member Joined Jul 27, 2022 Posts 428 Reaction score 881 Aug 17, 2022 #21 Mambo ya serikali na utajiri duniani kote Kuna UMWITU mwingi sana UNYAMA wa kufa mtu nyuma yake,yawezekana au ikawa yapo yafanana nayo.
Mambo ya serikali na utajiri duniani kote Kuna UMWITU mwingi sana UNYAMA wa kufa mtu nyuma yake,yawezekana au ikawa yapo yafanana nayo.
fidel castro wapili JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 3,497 Reaction score 2,911 Aug 17, 2022 #22 MastaKiraka said: Unafahamu tajiri au Familia tajiri namba moja Kenya ni nani? Click to expand... Daniel Toroitich Arap Moi.
MastaKiraka said: Unafahamu tajiri au Familia tajiri namba moja Kenya ni nani? Click to expand... Daniel Toroitich Arap Moi.