RWANDES JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,788 Reaction score 4,401 Jan 30, 2023 #1 Rais wa Kenya, William Ruto yupo tayari kupambana na viongozi pamoja na mashirika mbalimbali ambao hawataki kulipa kodi ya Serikali. Amesema kwamba hataki kuona watu wanyonge ndiyo wanaolipa kodi tu
Rais wa Kenya, William Ruto yupo tayari kupambana na viongozi pamoja na mashirika mbalimbali ambao hawataki kulipa kodi ya Serikali. Amesema kwamba hataki kuona watu wanyonge ndiyo wanaolipa kodi tu
IDEGENDA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 4,505 Reaction score 5,343 Jan 30, 2023 #2 Safi sana!
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Jan 30, 2023 #3 RWANDES said: Raisi wa kenya william ruto yupo tayari kupqmbana na viongozi pamoja na mashirika mbalimbali ambao hawataki kulipa kodi ya serikali Amesema kwamba hataki kuona watu wanyonge ndiyo wanaolipa kodi tuView attachment 2500581 Click to expand... Acha kumfananisha Maghufuli na mambo ya kijinga..... Mzee tupa tupa wa lumumba
RWANDES said: Raisi wa kenya william ruto yupo tayari kupqmbana na viongozi pamoja na mashirika mbalimbali ambao hawataki kulipa kodi ya serikali Amesema kwamba hataki kuona watu wanyonge ndiyo wanaolipa kodi tuView attachment 2500581 Click to expand... Acha kumfananisha Maghufuli na mambo ya kijinga..... Mzee tupa tupa wa lumumba