Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kuu hili jukwaa si la mambo ya kimataifa, ipeleke kwenye mataifa. Ruto Kapigwa chini kweli ila hisi siasa za Kenya huwezi zielewa vizuri. Huwa anabifu sana na Odinga ila Kwa kibaki hawapambani sana. Anakesi ya rushwa kwamba aliuza sehemu ya msitu wa ngong' kwa Kenya pipeline. Ila kuna vigogo kibao kwenye kashfa hii. Ni miaka kadhaa ilopita. But he is a survivor!
watajifunza kwa akili zipi walizonazo mkuu?voa na bbc zinaripoti kuwa rais mwai kibaki wa kenya amemfukuza kazi waziri wa elimu wa nchi hiyo kwa tuhuma za rushwa.
Kikwete na washabiki-njaa wa ccm, muna la kujifunza hapo?