aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 May 10, 2013 #1 Mwenye kujua historia ya huyu mwanasiasa kijana wa kenuya tokea alipotoka mpaka alipo anijuze maisha ya kisiasa na utajiri pia alivyoupata maana. Nasikia zaman alisota sana nimesearch wikipesia lakini haijajitosheleza
Mwenye kujua historia ya huyu mwanasiasa kijana wa kenuya tokea alipotoka mpaka alipo anijuze maisha ya kisiasa na utajiri pia alivyoupata maana. Nasikia zaman alisota sana nimesearch wikipesia lakini haijajitosheleza