Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

Aidha kasema siku hizi tuzo za mchezaji bora zina vipengele ambavyo kila saa hubadirishwa kulingana na ama CR7 au Messi amekosa kipi kifutwe na ana kipi kwa mda huo ili kiongezwe.

Vigezo vimekuwa vinabadirishwa muwafuata wao wana vigezo gani kwa muda huo, maamuzi ya tuzo ya mwaka2010 ambapo Messi alitwa Ballon dor ikibidi awe Iniesta na mwaka 2013 ambapo CR7 kabeba ilibidi awe Ribery, 2014 ilibidi Emanuel Neur wa Ujerumani.

Lakini history inahukumu mengi hapo baadae, narudia sisemi Messi si bora hapana kwa sasa hakuna wakupingana nae.

Alisema Willian


 
Wivu wake tuu wa kupigwa mbili naye jana....that boy is from another galaxy, his brain makes decisions exorbitantly for defenders to confront...am glad to be alive to see this boy....it can take 100 years to have another one. Ronaldinho is just good on dribbling skills and samba style but nothing else...
 
Pole sana Willian..Messi ni wa sayari ingine

Jana walitolewa kinyesi chote na Messi mpaka akasizi ,, hasira zake zikaishia kuongea asichokijua. Tena ashukuru sana kugusana na Messi/kupeana mikono. Maana hadhi hiyo hana kwake hata kidunchu. Messi is from another planet bwana hatutaki vitakataka hapa sijui gaucho sijui nani.
 
Messi will never reach Ronaldinho's level,he will remain to be best player but Ronnie is the definition of football
 
Haya kayasema lini mleta uzi?Maana naona watu mwili contena akili kisoda wameanza kuhusisha na Chelsea kutolewa jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…