Mbona umeguna tatizo nini... ?? [emoji16] [emoji51] [emoji119]
Yes in ha mbona umeshangaa mummy... ?? [emoji17]Duuh!
Willian ni mbrazili
Rondinho ni mbrazili
Messi is far better than ronaldinho legends wote wanathibitisha hilo
hao ndio binaadamu mkuu"" hata ukifanya muujiza wakutembea juu ya maji"" watawaambia watu ""kuwa " ni kwa sababu hujui kuogelea ""inashangaza sana aisee...kusema adiddas ndio walisababisha jana kipa wa chelsea awe anapigwa matobo na messi!! watu wanajua sana kusingizia
hahaaaa
hahaaaUkisikia wabongo ndio hawa sasa 😛😛😛
Hata mimi naungana na wewe... ishia tu hapo maana unaweza kugombana bure na unayemheshimu...hahaaaaa mkuu kwakuwa nakupenda sana nakukuheshimu naomba mimi niishie hapa aiseee ....daaahhh ile umenichekesha mnooo daahh like seriously!??
asante babu yangu """ asante sana kumbe na wewe umeliona hilo ""!??Hata mimi naungana na wewe... ishia tu hapo maana unaweza kugombana bure na unayemheshimu...
Jamaa kanishangaza mpk nimesahau kumalizia nyagi yangu
Jamaa anajaribu kulinganisha bahari ya Hindi na Ziwa Nyasa. Sasa kwa werevu yatupasa tukae kimya ili kutunza heshima...asante babu yangu """ asante sana kumbe na wewe umeliona hilo ""!??
naam ni maamuzi sahihi sahihi sahihi kabisaaJamaa anajaribu kulinganisha bahari ya Hindi na Ziwa Nyasa. Sasa kwa werevu yatupasa tukae kimya ili kutunza heshima...
Maana kuna watu wanasema cherehani ni kiwanda na wengine mtumbwi wanauona kama meli.... "bora nikae kimya"
naam ni maamuzi sahihi sahihi sahihi kabisaa
ukishakuwa mwerevu ""
unapaswa kutambua sehemu stahiki ya kuuwakilisha werevu wako ""
kuna mahala pengine waweza kwenda nakuonyesha nguvu yako yakufikiri lakini ukaonekana wewe ndiye chizi"" kwa sabbu utakuwa unaongea vitu ambavyo kwa watu wengine hawana elimu navyo "" ndio maana masihi alipigwa mawe "" kwa sabbu elimu aliyokuwa anaifikisha kwa watu nikubwa mnoo tofauti na ya uwezo wawatu waliokuwa wanapaswa kuipokea "" mwisho wasiku walikuwa
wanaona kama anawatukana tu "" kumbe
nikwasabbu wanatatizo lakuto kuwa werevu wakuelewa mambo""
nisawa sawa na kutoka hapa kisha uende sitimbi huko uanze kuwaambia watu kuhusu uwepo wa black hole"" alliance na NASA...wakati watu walitegemea kuwa unaweza kwenda na dawa za kusaidia kuuwa ngedere wanaokula mazao "" lazima watakukimbiza tu""
hahaaa ndio hivyo MZee wanguHahahaha dah... nimejikuta nacheka tu
Mtaugua sana mioyoni juu ya Leo, The Messiah.Messi will never reach Ronaldinho's level,he will remain to be best player but Ronnie is the definition of football
Tena ashukuru SAAAANA huko kubadilika badilika kwa sheria maana zile TOBO 2 alizopigwa Cutro enzi mimi nacheza mpira Mazengo ilikuwa ni sawa na bao 4. Na ilibidili Cutro baada ya mechi amkabidhi Messiah chupi yake aende akinusa kama beberu lenye hamu...Aidha kasema siku hizi tuzo za mchezaji bora zina vipengele ambavyo kila saa hubadirishwa kulingana na ama CR7 au Messi amekosa kipi kifutwe na ana kipi kwa mda huo ili kiongezwe.
Messi ameanza kutamba akiwa na miaka 17 leo anaitafuta 30 bado anaitikisa dunia Gaucho alikua mzuri lakini hakukaa kwenye kiwango zaidi ya miaka mitano. Tutaendelea kumchukia mesa lkn ukweli kila kocha anaekutana na mesa anakubali uwezo wake.Analeta utaifa huyo, mbona haihitaji shule kuielewa status yake, ni sawa kusema samatta ni bora kuliko salah. Mwambie amulize gaucho mwenyewe atampa jibu sahihi kwamba who iz lapulga??? Asituletee ujinga wake hapa,anamsifia kwakuwa fellow brazilian lakini Messi ni noma no one like him under the sun. Gaucho ni mtoto sana tu kwa Messi. Level yake akina iniesta aguero and ibrahimovic.