HODI JF MEMBERS mimi ni kichanga katika JF members.Jamani naombeni yeyote mwenyeuwezo wa kuniwezesha kuipata story ya willy gamba katika mtandao unisaidie.
ndio mwenyewe mkubwa umegusa mulemule,sasa unaweza kunifanyia mpano wa kunitumia linki yake au kuniwezesha niweze kuipata full story ya huyu jamama katika mtandao wa JF TAFADHALI NAOMBA NITUMIE.[kama sikosei kiliandikwa NJAMA]
usemalo si kweli mkuu mimi ni kichanga wa JF, kama inawezekana ungeangalia orodha wa memba wabya wa JF nami nimo umo. ASANTE KWA KUNIKARIBISHA KATIKA JF MEMBERS.