Naomba kama mtakuwepo tukumbushane enzi zile za kuponda kokoto mambo ya jiwe wilolesi pia na mambo ya vikosi vya zamu. R-ip Kajiba kweli alitulea kijeshi sana.
mm wa sabasaba primary ila namkumbuka sana mwl.Komba na ndumbalo alikuwa kilema anatumia gongo kutembelea,hata Rip.kajiba nafikir pia aliwah kuwa afisa elimu kama nitakuwa sijakosea