Mahera is there to serve incumbent president interest and not to ensure the presence of free and fair election, no any army can prevent the wave of revolution we want to turn power to the people.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
Mahera na tume yake ndo waharibifu wa uchaguzi huu, aache kudingizia wengine. Hadi amewapigia CCM kampeni. Tume yake imeshindwa hata kuamuwa rufaa nyingi Tu, tume yake imewahenguwa wapinzani.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Naona NEC wamebanwa vilivyo na sasa wanajiandaa kuuweka mpira kwapaniMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Ni kweli kabisa bwana mahera, hawa waliopanga hizi mbinu chafu wanaoongozwa na madam polepoleMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Hivi hayo Mahindi ameyatolea ufafanuzi wowote ?
Napata picha kwanini wakati ule akiwa Mkuregenzi wa Halmashauri kule Arusha Jerry Muro alitamani kumzaba vibao. Ni mpuuzi sana huyu.Huyu mpumbavu wakati mwingine ni bora akakaa kimya! Kila akipanua kopo lake anahororoja tu! Kuna clip inazinguka Twitter ikionesha lori lililojazwa masanduku ya kura yenye kura zilizopigwa tayari! Sijui mwisho wake umekuwaje? Aache upumbavu huyu! Kwa nini aseme kituo hakitakiwi kuzidi watu 500? Si aseme tu kila kituo kitakuwa na watu 500 basi?