#COVID19 Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733


Covid out break is similar to the thunder and lightning phenomenon--- they strike at the same time but the first to be seen is the lightning and the thunder is heard later, When you hear a report of Covid in a neighbouring country it may, possibly, have stricken already in our midst like the lightning, we are unwary.
 

Wapumzike kwa amani wote wanaotolewa kafara Serikali ikiendelea kufanya uchunguzi usiokuwa na mwisho.

Hivi na Ile tuliyoambiwa Marburg siyo Ebola, uthibitisho wa kuwa ilikwisha au ipo uko wapi?

Karibu nyumbani kwa wagagikoko ambako milango ipo lakini hupitia madirishani.
 
Itakuwa kila nikiona dege lililochorwa kikatuni, na linashusha watu, nakimbia. Hata kama Uviko haupo!

Ukiwa huna haki lazima korona ipo.
 
Itakuwa kila nikiona dege lililochorwa kikatuni, na linashusha watu, nakimbia. Hata kama Uviko haupo!

Ukiwa huna haki lazima korona ipo.

Rejea usome ulichoandika kujiridhisha kama hujanena kwa lugha
 
Kwan hata wakitangaza unafikir utafanya nini? Kama wimbi la kwanza ambako lilikuwa kali kuliko tuliweza kulihimili japo baadhi walipoteza maisha kwann uhofie sasa hivi?
 

Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu​

#################>>>>>>>uthibitishoπŸ‘‡

Rejea usome ulichoandika kujiridhisha kama hujanena kwa lugha
Ulitaka uthibitishiwe nini? toka lini Brazaj akawa daboyuhechhoo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡




Ila Tanzania?

Kwa lugha nyingine, unafanya kejeli(mocking!) (tounting)
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hakuna kejeli hapo ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…