Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari zenu wadau?
Nije kwenye mada? Humu jf Naona kuna watu wameibuka wana hela kubwa kubwa wanataka ushauri wa kufanya biashara!.
Mi naomba kujua mbona wanazidi tu kulikoni mara leo huyu ana million 150 mara 200 hujakaa sawa mwingine 750 asee!
Mi ninashangaa sana maana kila ukipita huko unakutana nao! Basi na sisi naomba mtuambie na sisi tupate hizo hela nzito nzito! Natumaini sijamkela mtu ni mawazo yangu tu
Nawasilisha 🙏