Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni watu wa Low profile zao sasa Vuup naona kwa sasa wameona waji Expose sana Pamoja na Kuwa wanafanya Engagement na Charity activities ambazo zita draw attention ya Community bado nawaza sana Kwanini watu hawa wana ji expose?
Je ni for security purposes kuwa famous ana well known ni Ngumu Kushambuliwa au Kudhuliwa na Upande wa pili?
Matajiri Ni wengi ambao wamekuja kwenye limelight kwa sasa Kina Mlokozi wa Manyara na Lugumi ni mfano wa wachache tu
Hawa wataalam wamenusa nini mpaka kujifanyia Expose kwenye Jamii?