Wimbi la single mother linatisha

Wimbi la single mother linatisha

welding1682

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2019
Posts
2,151
Reaction score
4,681
Ebu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za.

Na nyie dada zangu umeamua kuwa single mother nini sababu za kukesha kwenye mitandao na club kutafuta wanaume na kuyasahau majukumu yenu kwa watoto wako!
 
Wanawake ndio wanaojenga au kuharibu ndoa zao.
Wababa kuishiwa nguvu za kiume au kukesha bar baada ya kazi ni kielelezo nyumbani si shwali wanakwepa magomvi.
Wanaume hawapendi vurugu na wanawake sababu wanawake wamepewa haki nyingi so maamuzi wengi uchagua njia ya kuwakwepa kimtindo kwa kuwa mbali masaa mengi.
 
Screenshot_20240711-112426.jpg
 
Niliona eti viongozi wa serikali wanajadili kabisa maana hali ni mbaya , mda huo wao ndio wanawapa kiburi wanawake pale ustawi wa jamii .

Walikuwa wanataka kula posho tu za vikao .
 
Watoto ni baraka, kuna watu wana kila kitu maishani wamekosa watoto. Wanajiona bado hawana kitu kwasababu hawana watoto.
Mambo ya single mother, ni mwanaume na mwanamke, kama mnajiona bado kuzaa na kulea pamoja, tumieni protection. Na mnayakuza sana, unaweza kuwa kwenye ndoa na mume akafa, ukabaki unalea mwenyewe.
 
Ebu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za.

Na nyie dada zangu umeamua kuwa single mother nini sababu za kukesha kwenye mitandao na club kutafuta wanaume na kuyasahau majukumu yenu kwa watoto weko!
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom