welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Hajaolewa?Kuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Kuna miamba inajua kuforce,halafu unaweza ukakuta aliyempa mimba ni muhuni tu.Kuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Hajaolewa mkuu,si ndio maana nimeshangaa namjua ana msimamo sana sijui nini kimempataHajaolewa?
Kuna miamba inajua kuforce,halafu unaweza ukakuta aliyempa mimba ni muhuni tu.
Inasikitisha sanaEbu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za.
Na nyie dada zangu umeamua kuwa single mother nini sababu za kukesha kwenye mitandao na club kutafuta wanaume na kuyasahau majukumu yenu kwa watoto weko!