Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa.
Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa?
Ni mfumo wa maisha umebadilisha namna ya starehe ?
Au wanawake wamekuwa desperate sana kutaka kuolewa au nini hasa?