Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Shida ni nini!??Duh hizi mada kila siku zinaanzishwa humu kah
Aiseemtoa mada kwanini hukutafuta mada zinazohusiana na hii ili hiki ulichoandika ikawa kama mchango katika hizo nyuzi.
kwani hamchoki haya manyuzi ya namna hii kila siku?? hamuoni ni kama promotion hivi Dzain
Una maana kwamba baadhi ya jinsia ya kike ikitamkiwa ahadi ya ndoa tuu wanatoa hadi kitufe??
Ingia gugo kwa msaada zaidi mkuu...Kutufe ndo kinini mkuu?