Wimbi la wanawake kujichubua imekuwa kero na karaha

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Aseh hv ulishawai kutana na mwanamke usiku ile rangi yake ya weupe ikakuvutia ilee paaap unakutana nae asubuh huamin macho yako vidole vyeusiiiiiiii yan anatisha vidole vya mikononi mpk miguuni!!??

Wanawake wengi wanaamini uzur wa mwanamke ni weupe lakini sio kwel hasa kwa mkoa wa dar es salaam aseh ni balaaa yan katika wanawake 10 bhas 9 wanajichubua

Naona siku iz mpk kuna wanaume nao wanajicream wanalilia weupe hii noma san[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weupe wa asili na weupe wa kujichubua tofauti ni kubwa sana.

Sijui kwanini watu hawazipendi rangi zao za asili!
 
Kuchubua ngozi sikubaliani nalo kabisa,ndo maana sitaki demu mweupe,sina imani na huo weupe ni wa kwake au wa shop.
Hivi Michael Jackson aliwaza nini mpaka akaamua kubadili rangi?
 
Mbaya zaidi unamuona mtu hadi ile sijui ndiyo mishipa ya damu, lol
 
Kuna maji ya upako na maji ya Ray.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Ingekua weupe ndio kupendwa sio kina cheusi mangala tusingekua na hawa kina baba mjengo

Kazi kwenu mnaochagua rangi
 
Weupe wa asili na weupe wa kujibua tofauti ni kubwa sana.

Sijui kwanini watu hawazipendi rangi zao za asili!

Wanawake wanatumia gharama nying kubadili muonekano wao kwajil ya wanaume lkn hawalijui hilo litakuja kugharim hapo badae
 
Kuchubua ngozi sikubaliani nalo kabisa,ndo maana sitaki demu mweupe,sina imani na huo weupe ni wa kwake au wa shop.
Hivi Michael Jackson aliwaza nini mpaka akaamua kubadili rangi?

Wanawake weng wanaona uzur unaanzia kweng rangi kumbe sio
 
🤣🤣🤣🤣🤣
images (7).jpeg
images (6).jpeg
 
Aseh hv ulishawai kutana na mwanamke usiku ile rangi yake ya weupe ikakuvutia ilee paaap unakutana nae asubuh huamin macho yako vidole vyeusiiiiiiii yan anatisha vidole vya mikononi mpk miguuni!!??

Wanawake wengi wanaamini uzur wa mwanamke ni weupe lakini sio kwel hasa kwa mkoa wa dar es salaam aseh ni balaaa yan katika wanawake 10 bhas 9 wanajichubua

Naona siku iz mpk kuna wanaume nao wanajicream wanalilia weupe hii noma san[emoji23][emoji23][emoji23]
Itungwe sheria kuzuia huo mchezo
 
Back
Top Bottom