the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Weupe wa asili na weupe wa kujibua tofauti ni kubwa sana.
Sijui kwanini watu hawazipendi rangi zao za asili!
Mbaya zaidi unamuona mtu hadi ile sijui ndiyo mishipa ya damu, lol
Acha tu yaani unakutana na mwanamke ana rangi zaidi ya tatu tofauti tofauti kama taa za barabarani
Kuchubua ngozi sikubaliani nalo kabisa,ndo maana sitaki demu mweupe,sina imani na huo weupe ni wa kwake au wa shop.
Hivi Michael Jackson aliwaza nini mpaka akaamua kubadili rangi?
Awajiamini.masikini hawajui kwamba black is beauty.Wanawake weng wanaona uzur unaanzia kweng rangi kumbe sio
Asante NAWATAFUNA 🙏Awajiamini.masikini hawajui kwamba black is beauty.
🤣🤣🤣🤣🤣Vidole vyao vinakuaga kama ndizi za kuchoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu yaani unakutana na mwanamke ana rangi zaidi ya tatu tofauti tofauti kama taa za barabarani
[emoji23][emoji23][emoji23] huu ni uongo tyuuh, wasingekua wanajichubua sasa tena had wanaume lol,Awajiamini.masikini hawajui kwamba black is beauty.
Itungwe sheria kuzuia huo mchezoAseh hv ulishawai kutana na mwanamke usiku ile rangi yake ya weupe ikakuvutia ilee paaap unakutana nae asubuh huamin macho yako vidole vyeusiiiiiiii yan anatisha vidole vya mikononi mpk miguuni!!??
Wanawake wengi wanaamini uzur wa mwanamke ni weupe lakini sio kwel hasa kwa mkoa wa dar es salaam aseh ni balaaa yan katika wanawake 10 bhas 9 wanajichubua
Naona siku iz mpk kuna wanaume nao wanajicream wanalilia weupe hii noma san[emoji23][emoji23][emoji23]
Itungwe sheria kuzuia huo mchezo