Wimbi la wasanii kuvaa lens za macho ya Paka, nini maana yake?

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
620
Ili wimbi la wasanii kuvaa macho ya paka mbona sielewi ni urembo au ulimbukeni
 
wengine mnadhania wamevaa lens kumbe wamelewa, maana hao wawili wa mwishoni kwa kulewa tu hawajambo
 
laanasumaka
heeeh mbona gigy kawa kama jini makata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…