Contact lenses zinabadilisha muonekano wa macho.(cat eye contact lens)Ata sijaelewa
cat contact lenses - Recherche GoogleHayo ndo macho ya paka!?? Hao hapo juu!??
Ili wimbi la wasanii kuvaa macho ya paka mbona sielewi ni urembo au ulimbukeni
View attachment 532044
[emoji3][emoji3][emoji3]kuiona pupil ni adi uchenjue lens[emoji125]Ulimbukeni wa kiwango cha makinikia
Mbona kama majini hayoo...
kweli kabisa mkuu...ukiwa kipofu unalaumu[emoji3][emoji3][emoji3]kuiona pupil ni adi uchenjue lens[emoji125]