Wimbi la wasanii kuvaa lens za macho ya Paka, nini maana yake?

Akili za wanawake bwana sasa kubandika midude machoni mkija kupofuka macho mtamlilia nani? Mmejichubua mnaona haitoshi sasa mnaenda kuharibu macho yenu....Yaani katika sample ya wanawake 100 wawili ndio utakuta weusi wengine wote maji ya kunde,brown skin,weupe,wanjano,wekundu,wengine hawaeleweki wa orange au khaki.
 
inaonekana wema anapita na kusoma udaku wa humu maana kila topic inayomuhusu comments zikiwa against nae anaenda tolea mapovu kwenye page yake instagram. Pole attention seeker
 
inaonekana wema anapita na kusoma udaku wa humu maana kila topic inayomuhusu comments zikiwa against nae anaenda tolea mapovu kwenye page yake instagram. Pole attention seeker
Haaahaa...

Page yake ni jina gani hukoo!??
 
wengine wagonjwa jaman...kama mimi huvaa miwani nikichoka miwani natupia lens!!!! ndo hivyoooo...miwani inasehm yakeee....lkn wengine ni urembo tuuu
 
Halafu wakisifiwa wazuri wanaringa hatari,kumbe kila kitu sio chao,..yaan wamekua kama manyau kweli kama lulu na gigy utadhan wana makengeza.
 
Imechelewa tu kufika huku!!!
Na acho ya paka hayapo hivyo

Nchi zingine hizo contact lense ni bei rahisi kuliko kununua miwani ya macho, kwahiyo watu wengi wanazo... Nadhani wasanii wetu ndo wanastuka sasa ndo mana wengi wanavaa....

Wangekua wazungu wangecheza na rangi nyingi kama blue na green, ila sababu ni weusi ndo maana wanazunguka kwenye hiyo rangi...
 
Hivi hizo kope wanabandika na "super glue" au wanawekea na nini!!!
 
Hao wote ni wajinga miongoni mwa wanawake wachache wajinga.Binadamu unatamani No macho ya paka??

Hata ukiwaona hakuna wanalopendeza.Wote watatu hapo huwa ni km machizi

Hahahaha na kweli mkuu hivi unaanzaje kuvaa macho ya paka
 
Vitu vingine bwana basi tu, nngekuwa mm ni Mungu nawafanya nyau kabisaaaaa
 
Nilianzaga kujiuliza wema sepetu mbona macho yamebadilika Siku hizi. Au ndo mbadiliko Kama wa sh... Yake inavyobadilikabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…