Namwona Sir Alex Ferguson ndani ya centre court akiangalia huu mtanange.
Hii inaweza kwenda mpaka masaa manne.What a final! masaa mawili sasa yamepita.
Mpaka hapo Roddick kajitahidi sana.Andy Roddick anasawazisha na mambo ni set 2-2. Kwa hio kuanzia sasa tuna-expect unexpected.
Mkuu hii itafika tie break na Roddick atashindaFederer ana advantage ya kushinda hii set ya tano kwa kuanza kuserve mwanzo