Wimbledon 2015 Final: Federer vs Djockovic

Wimbledon 2015 Final: Federer vs Djockovic

Hivi game inaanza saa ngap?tennis ya wanawake.
Nawaona wapenzi wa Tennis ni wachache sana JF. Hapa ninaangalia finali kati ya Djokovic na Federer. Ingawa Federer anajitahidi lakini naona ngoma ni nzito kwake. Kwa wanawake Serena juzi keshanyakua ubingwa wa Wimbledon kwa mara ya sita.
 
Back
Top Bottom