Faru dume JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 471 Reaction score 116 Jul 11, 2015 #1 Hivi game inaanza saa ngap?tennis ya wanawake.
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,413 Reaction score 23,592 Jul 12, 2015 #2 Faru dume said: Hivi game inaanza saa ngap?tennis ya wanawake. Click to expand... Nawaona wapenzi wa Tennis ni wachache sana JF. Hapa ninaangalia finali kati ya Djokovic na Federer. Ingawa Federer anajitahidi lakini naona ngoma ni nzito kwake. Kwa wanawake Serena juzi keshanyakua ubingwa wa Wimbledon kwa mara ya sita.
Faru dume said: Hivi game inaanza saa ngap?tennis ya wanawake. Click to expand... Nawaona wapenzi wa Tennis ni wachache sana JF. Hapa ninaangalia finali kati ya Djokovic na Federer. Ingawa Federer anajitahidi lakini naona ngoma ni nzito kwake. Kwa wanawake Serena juzi keshanyakua ubingwa wa Wimbledon kwa mara ya sita.
ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,676 Reaction score 3,451 Jul 12, 2015 #3 Bonge la gemu hili