Mashindano makubwa kabisa duniani kwenye mchezo wa tennis Wimbledon imefika patamu, ni hatua ya
quarter final huku wakali kama Rafael Nadal, Novak Djokovic wote wakitinga hatua ya robo fainali.
THE GREATEST OF ALL TIME wa mchezo huo kipenzi cha wengi, the king himself, Messi wa tennis Roger Federer anapewa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi wa michuano hiyo.