Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Vipande hivyo vilichukuliwa kipindi akifanyiwa kipingo mwaka jana na hiki kipande cha mwanzo alifanyiwa siku ya jumamosi akijiandaa kwenda kwenye onyesho lake live la muziki hata hivyo lilizuiliwaHiyo video ameshutia wapi
Vipande hivyo vilichukuliwa kipindi akifanyiwa kipingo mwaka jana na hiki kipande cha mwanzo alifanyiwa siku ya jumamosi akijiandaa kwenda kwenye onyesho lake live la muziki hata hivyo lilizuiliwa
Na huyu mentali ndiye anaenda kumtoa M7 madarakaniM7 hana muda yanaenda kumkuta ya Al Bashir.
Maonyesho na kutoka njeAmekatazwa kufanya maonyesho aisee
Duh umenikumbusha kipindi namiliki baiskeli ya AvonKota pini imeingia kwa nyundo itatoka kwa nyundo,bob wine akamate bunduki aingie msituni.
Duh umenikumbusha kipindi namiliki baiskeli ya Avon
Phonex ilionyesha uanaume mkuu hongera hopes uliwamega sana wanazengo huko kijijiniMimì nilikua na Phonex.