kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwaka ndo unamalizika naamini kila mmoja kuna wimbo ambao ni Bora kwake ,kutokana labda na verse flani inamgusa.
Kwa upande wangu ni "CHAMPION" by Kontawa
. Verse
"mlo mmoja na bado tulibeba nondo na maisha bado yakasonga"
#uziuendelee