Wimbo bora wa mwaka 2014 na msanii bora

Pacha Wangu-RichMavoko. Huu wimbo ni noma sana aisee, kuanzia beat, chorus, bridge, intro na outro pamoja na shooting pia. Ukikaa ukausikiliza vyema hautapingana na mimi.
 
13 by Young Killer ft. Fid Q & Belle 9
kama huijui ipe muda wako.....
 
Roma Mkatoliki na nyimbo zake za Harakati.
 
1. Nani kama mama - C Bella
2. Mwana Dsm - Ali K
3. Mdogo mdogo - Diamond

Pamoja na kwamba kuna nyimbo nying nzuri mwaka huu km Pacha wangu - Mavoko n.k hizo hapo juu naziweka kwny tatu bora zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…