Wimbo dedicated by artists to ngwair

Wimbo dedicated by artists to ngwair

Nimeupenda wa mswaki ameufanya kwa rafudhi ya mangwear dah unasikitisha sana na ni creativity nzuri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hadi sasa hivi kuna nyimbo mbili,,moja imefanywa na mnyama t.i.d na nyingine ni joint collaboration ya hhp artists imefanywa na mensen kuna artists ka joh makin na wengineo
 
Back
Top Bottom