I'm feeling OJ Da Juiceman na Gucci Mane.....
Gucci anatesa sasa hivi hadi Jeezy kaamua kum-diss...ahahahahaha
Wapenzi wa Muziki,
Nyimbo gani Imewakaa kichwani leo, na kwanini?
Mimi leo tangu niamke, nausikilizia, "A Rose By Any Other Name, by Teena Marie feat. Gerald Levert (RIP)....