Salama by Marijani Rajab jabali la muziki
wapi salama, salama nakuomba
salama nakuita mama,
umenipa machozi, machozi yasiyokwisha
nifanyeje mwanamama
nikilala naota sura yakoo
nikitembea nasikia waniitaa
nageuka sikuoni mwanamama
nauliza uko wapi mwana mama
aiooo, ooleliii, uuhhuuuuuuuuuuuu...