Wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020

Wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020...

We taja tu hata kama....
We taja tu.....

...nimesema we taja tu...

Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie..

2020

Countin down
 
Tutaonana baadaye..unanikumbusha vidonda vikali vya msiba[emoji24].

Ni kwa neema tu
Unanikumbusha wema wa Mungu kwangu hasa jinsi alivyonivusha kitaaluma.

Yote mema_ Joel Lwaga
Unanikumbusha changamoto nilizopitia za kifamilia,na changamoto nyingine binafsi.
Ila yote hutokea kutufanya hodari
 
Amechukua ameweka waaah
Tupe siri ya mkuu...nani kachukua
Tutaonana baadaye..unanikumbusha vidonda vikali vya msiba[emoji24].

Ni kwa neema tu
Unanikumbusha wema wa Mungu kwangu hasa jinsi alivyonivusha kitaaluma.

Yote mema_ Joel Lwaga
Unanikumbusha changamoto nilizopitia za kifamilia,na changamoto nyingine binafsi.
Ila yote hutokea kutufanya hodari
Thanx..mkuu
 
Joel ndio yule ameimba ...umejua kunifurahisha???.
 
Back
Top Bottom