Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Tupe siri ya mkuu...nani kachukuaAmechukua ameweka waaah
Thanx..mkuuTutaonana baadaye..unanikumbusha vidonda vikali vya msiba[emoji24].
Ni kwa neema tu
Unanikumbusha wema wa Mungu kwangu hasa jinsi alivyonivusha kitaaluma.
Yote mema_ Joel Lwaga
Unanikumbusha changamoto nilizopitia za kifamilia,na changamoto nyingine binafsi.
Ila yote hutokea kutufanya hodari
Joel ndio yule ameimba ...umejua kunifurahisha???.Tutaonana baadaye..unanikumbusha vidonda vikali vya msiba[emoji24].