Wimbo gani wa zamani uliupenda

Wimbo gani wa zamani uliupenda

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Taja zilipendwa na bongoflava au hip hop ya zamani.

Mi nilipenda sana Rangi ya chungwa,kasuku na Mikononi mwa polisi Mr.II
 
AMIGO!!hi song ilipigwa na LES WANYIKA.mstari mfupi kukumbushia.
'thamani ya mke ni mavazi!!!kula vizuri kulala vizuri!!
 
Manzili manzili ......................... namkumbuka sana bibi yangu niusikiapo wimbo huu
 
AMIGO!!hi song ilipigwa na LES WANYIKA.mstari mfupi kukumbushia.
'thamani ya mke ni mavazi!!!kula vizuri kulala vizuri!!

teh teh les wanyika nakubali nyimbo zote.....umewahi kusikia najuta?
 
mambo yote mlimani park, lkn kuna marquis du zaire, matimila, msondo. Bakulutu kuna mwenyewe lwambo, kavasha Orch Veve, dah kwa kweli za zamani zote tamu tuu. Bichuka ktk duniani kuna mambo! Ile sauti ni zaidi ya almasi
 
dah we noma mkuu,hapa nafahamu tu mlimani park
 
bila kusahau wosia wa baba ya marjani rajabu.Hii aliitunga jioni ya siku 1 na kuipiga live pale songea siku hiyo hiyo.
 
VP ILE SONG YA'KISEBENGO'?HII ALIITUNGA ODAX AKIMUIMBA NGUZA VIKINGI ALIYEWATOSA NA KUKIMBILIA ACHIGO HUKU AKIWAKEJERI KWA KUSEMA MAMBO YAKE POA.
HEEEE KISEBENGO!BABAEEEE KISEBENGO!!
HEEEE KISEBENGO BABAAA!KISEBENGO TUMEKUKOSEA NINI BABAAA!
Dah,e bwana acha tuu,ilikua hatari tupu enzi hizo.
 
Makumbele nimevulia mengi sijakutendea kosa mpenzi -Vumbi dekula
napenda huu wimbo sana
 
baba jeni bai bai

gari nalijua sauti, nalifuta vumbi
gari nalijua kwa honi na muungurumo wake
amechanganyikiwa, hata mimi mke wake hana habari nami
hata watoto wake, hana habari naooo

baada ya bongo fleva kuingia nilipenda mtoto wa geti kali
 
bila kusahau wosia wa baba ya marjani rajabu.Hii aliitunga jioni ya siku 1 na kuipiga live pale songea siku hiyo hiyo.

teh teh dah hata mimi naupigia saluti
 
VP ILE SONG YA'KISEBENGO'?HII ALIITUNGA ODAX AKIMUIMBA NGUZA VIKINGI ALIYEWATOSA NA KUKIMBILIA ACHIGO HUKU AKIWAKEJERI KWA KUSEMA MAMBO YAKE POA.
HEEEE KISEBENGO!BABAEEEE KISEBENGO!!
HEEEE KISEBENGO BABAAA!KISEBENGO TUMEKUKOSEA NINI BABAAA!
Dah,e bwana acha tuu,ilikua hatari tupu enzi hizo.
mkuu hiyo ngoma ilikuwa inakubalika bila upinzani
 
baba jeni bai bai

gari nalijua sauti, nalifuta vumbi
gari nalijua kwa honi na muungurumo wake
amechanganyikiwa, hata mimi mke wake hana habari nami
hata watoto wake, hana habari naooo

baada ya bongo fleva kuingia nilipenda mtoto wa geti kali

mi babu inspector nilimkubali sana
 
Back
Top Bottom