Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Kuna wimbo huu hapa chini kwenye link unaitwa Kalume, umeimbwa na Tshala muana. Nimeupenda sana lakini sifahamu tafsiri yake. Anaonekana akiimba akiwa na mwanamume na inaelekea kama maongezi fulani anafanya naye. Kwanza anamkatalia mwanaume kucheza naye, na kuna sehemu anakuwa kama anataka kumwaga radhi. Baada ya maongezi ya kuimba, hatimaye anamkubalia huyu mwanaume kucheza naye. Ni kama stori ya aina naye. Mwenye kujua tafsiri yake anitafsirie na aniambie ni lugha gani huyu mrembo Tshala Muana alikuwa anatumia.
Natanguliza shukrani zangu.
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=0KyM03QLDjU"]YouTube- Tshala Muana- Kalume[/ame]
Natanguliza shukrani zangu.
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=0KyM03QLDjU"]YouTube- Tshala Muana- Kalume[/ame]