Wimbo huu wa Mrembo Tshala Muana una maana gani?

Wimbo huu wa Mrembo Tshala Muana una maana gani?

Watanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
727
Reaction score
44
Kuna wimbo huu hapa chini kwenye link unaitwa Kalume, umeimbwa na Tshala Muana. Nimeupenda sana lakini sifahamu tafsiri yake. Anaonekana akiimba akiwa na mwanamume na inaelekea kuna maongezi fulani anafanya naye. Kwanza anamkatalia mwanaume kucheza naye, na kuna sehemu anakuwa kama anataka kumwaga 'radhi'. Baada ya maongezi ya kuimba, hatimaye anamkubalia huyu mwanaume kucheza naye. Ni kama stori ya aina yake. Mwenye kujua tafsiri yake anitafsirie na aniambie ni lugha gani huyu mrembo Tshala Muana alikuwa anatumia.
Natanguliza shukrani zangu.
Mods naomba muiache hapa bado natafuta tafsiri, nina imani jukwaa hili nitapata majibu.
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=0KyM03QLDjU"]YouTube- Tshala Muana- Kalume[/ame]
 
Back
Top Bottom