Habari za jioni wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi.
Napenda kuwakaribisha kusikiliza wimbo wangu wa kwanza kuandika mwenyewe unaohusu Sensa, pongezi kwa serikali ya awamu ya sita pamoja na sifa kwa Nchi ya Tanzania kwa ujumla.
Karibuni pia kule Youtube kwa ajili ya kuniinua kijana wenu kwa upande wa Views & Subscribers 🙏🙏
Nimeambatanisha audio file pamoja na pdf ya mashairi ya wimbo huo.