Wimbo kwa ajili ya wakina baba upo?

Wimbo kwa ajili ya wakina baba upo?

Living Pablo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2020
Posts
3,549
Reaction score
10,995
Jaman habarini ningependa kuuliza kama ambavyo tumezoea kila siku wasanii karibia kote duniani huimba nyimbo kwa ajili ya kuwasifu wakina mama. Je ningependa kuuliza kuna mtu ata mmoja anaujua wimbo wowote ulioombwa kuwasifu wakina baba maana sio kila siku tunasikiliza za kuwasifu wakina mama tu japo wamefanya kazi kubwa kutulea toka tumboni

Lakini pia kuna wababa wengine wameplay part kubwa ya maisha yetu ningependa kama wimbo huo upo mtu antajie au LA siivyo wasanii wajaribu kuwakumbuka wababa kama ambavyo ule wimbo wa zamani wa "WANAUME TUMEUMBWA MATESO KUHANGAIKA" Maana kila siku nyimbo ni nani kama mama Christian bela,harmonize mama,kayumba mama,tupac dear mama n.k

Ningependa kuwe na usawa japo ba wababa wakumbukwe maana nahuzunikaga sana kuwa kila siku nasikiliza nyimbo za kumsifu mama tu naona kama baba namkatili.Mwisho kabisa nawapenda wote baba na mama asanteni.
 
Kuna wimbo Wa Christopher Martin.. Amemsifia mzee wake! Bonge la ngoma ila nimesahau jina!
 
Ulikuwepo Ila haukuvuma Sana
Waliimba vijana fulani walikuwa wanaitwa "katembo boys" Kama sikosei...walisifia Sana BABA ule wimbo.
 
Wababa nao watolewe nyimbo jamani dah wasanii hawawakumbuki
 
Daaah[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo sisi ndo wakusababisha matatizo tu
We acha tu mkuu yaan pamoja na kupambania Maisha ya watt lakn wasanii kila uchwao ni kuimba nan kama mama nan kama mama
 
hatuna jinsi wacha ttafte pesa watoto wetuwaje waimbe nani kama .....ma
 
Zipo nyingi sana sana! Mmoja ninaoupenda sana na hata binti yangu anaupenda sana ni Yesu ni baba yangu asiyeshindwa kitu.
 
Zipo nyingi sana sana! Mmoja ninaoupenda sana na hata binti yangu anaupenda sana ni Yesu ni baba yangu asiyeshindwa kitu.
Umekula na kunywa maji vizuri,vp kulala je na vp hauna stress zozote pombe,bangi hutumii???

Maswali ni mengi sana
 
Back
Top Bottom