Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CHADEMA ni chama kinachoimarika siku hata siku pamoja na madhila yote wanayofanyiwa na CCM. Kama CHADEMA ingekuwa dhaifu leo hii ingekuwa ni historia kwenye siasa za Tanzania. Lakini bado wanastahili kutiwa moyo waendelee kupambana.
Tundu Lissu ni mwanasiasa aliyeshambuliwa kwa risasi akiwa Dodoma kwenye vikao vya bunge. Hali ya Afya yake inaendelea kuimarika siku hata siku. Ni MUNGU pekee anayejua ilikuwaje Lissu akanusurika siku ile. Risasi 16 kuingia mwilini si jambo la mchezo. Naye anastahilil kutiwa moyo.
Huu wimbo ni maalum kwa ajili ya kuwatia moyo CHADEMA na TUNDU LISU.
Watu wa Lumumba msichangie bila ya kuiangalia kwanza video hata kama MB za watu wa "Night shift" huwa mnapewa MB 70!