Wimbo maalum kwa Tundu Lissu na CHADEMA

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
CHADEMA ni chama kinachoimarika siku hata siku pamoja na madhila yote wanayofanyiwa na CCM. Kama CHADEMA ingekuwa dhaifu leo hii ingekuwa ni historia kwenye siasa za Tanzania. Lakini bado wanastahili kutiwa moyo waendelee kupambana.

Tundu Lissu ni mwanasiasa aliyeshambuliwa kwa risasi akiwa Dodoma kwenye vikao vya bunge. Hali ya Afya yake inaendelea kuimarika siku hata siku. Ni MUNGU pekee anayejua ilikuwaje Lissu akanusurika siku ile. Risasi 16 kuingia mwilini si jambo la mchezo. Naye anastahilil kutiwa moyo.


Huu wimbo ni maalum kwa ajili ya kuwatia moyo CHADEMA na TUNDU LISU.

Watu wa Lumumba msichangie bila ya kuiangalia kwanza video hata kama MB za watu wa "Night shift" huwa mnapewa MB 70!
 
Sululu la Chuma Lissu limeshinda, wahuni aibu kwao.
 
Huo muda unaotumia kishabikia vyama Bora ungetumia kufanya maendeleo ingekusadia kuliko kishabikia upuuzi mnatumika kama ngazi za vyama kuwanufaisha wanasiasa Kama huyo unaemuhabudu angekuwa kweli unapenzi na watanzania asingekuwa anaunga hoja ya kuongeza posho kwa wao wabunge kwanini linapofika suala posho apingi posho zipunguzwe.kwel baadhi ya watz wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Naona kuna comment imefutwa
 
Usingekuwa unashabikia chama cho chote ungekuwa unafanya hayo maendeleo yakusaidie kuliko kujikomba!
 
...Maa kibuyu!

Yani mwanaume anajenga makaravati na mastigla goji, wakinadada wanatunga taarabu
 
Lissu The Greatest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…