Wimbo maalum kwa wanaopitia mateso na majaribu magumu akiwemo Erick Kabendera

Wimbo maalum kwa wanaopitia mateso na majaribu magumu akiwemo Erick Kabendera

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,742
Reaction score
3,224
Katika chorus Roma amasema yupo Mungu wa kukufuta machozi.

Kabendera huko ulipo na akina Tito Magoti na wengine wenye maswaibu mbalimbali yanayowasibu ,jipeni moyo mkiwa magerezani,mahabusu, mahosptalini, majumbani. Mateso mnayoyapitia ni ya muda tu yatapita, Roma amasema wapo akina Meshack na Abeli hadi kwenye tanuru la moto walipita lakini walishinda.

 
Back
Top Bottom