Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

Jamani hapo diamond alimaliza verse yake au alikatishwa?
 
Nani alieanza kutoa matusi?? Endelea kuisubiri hiyo radhi mpaka jua lizame
Bro sijakutukana mzazi mm na inshort sijakutukana wewe bro leo utajilaumu bro siku ya leo utanitafuta muda si mrefu nimemaliza
 
Nyimbo ndeefu kama mkojo yote kaimba alicia, diamond kapewa sekunde 3 ukisema mashabik wanakuona mbaya
 
Bro sijakutukana mzazi mm na inshort sijakutukana wewe bro leo utajilaumu bro siku ya leo utanitafuta muda si mrefu nimemaliza
Am waiting. Nikwambie tu tusi halichagui umeanza nitusi toka jana,. Nangojea nione utanifanya nini
 
Muziki ni burudani, fanyeni mijadala bila kuweka matusi
 




Salaam nyingi zikufikie bosi. Hope uko poa. It has been a while...
 
kaka nadiliki kusema ww ni miongoni mwa watu wanaofikiria kupitia matako.
 
Ukisoma comments utajua nguvu ya diamond platnumz nadhani ata Alicia keys huko alipo anajilaumu kuweka kipande kifupi cha huyu jamaa..
Kabisa.Lakini naona kuna jambo wanaweza kulifanya maana ukipita kwenye tweets za swizzbeats unaona wanaonesha huu kama ulikuwa mwanzo tuu.
 
Jamani hapo diamond alimaliza verse yake au alikatishwa?
According to swizz beats anasema Diamond platnumz alichagua kufanya hiki alichofanya.

Anyways inaweza ikawa ni moja ya njia ya kujitetea baada ya comments za fans wa Diamond platnumz.
 
Yani baada ya wimbo kwisha ndio Diamond akapewa nafasi
Hata hivyo hii itawanufaisha wote wawili sana hususa ni Diamond Marekani na Alicia Afrika

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…