mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Nimekueleaa sana mkuu.. but kama alivosema Mr.Nay juzi kuna watanzagiza ambao mpaka kitu kiwe katika hali ya burudani ndo watafatiliaHeshima Mkuu!
Unaposema "Wasanii waungane watoe nyimbo kwa pamoja bila kuiogopa sekretari",una maana ipi/gani?.Je kutasaidia kumpata Roma au utakuwa ni muendelezo wa Falsafa zetu za kutwa za kupiga kelele pasipo kutafuta usuluhishi wa tatizo na kupata majibu stahiki?.
Hii nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Kisheria.Tuna Wizara ya Mambo ya ndani,Tuna Baraza la Sanaa la Taifa "BASATA".Tuna jeshi la kujenga Taifa "Rafiki yangu mmoja anapenda kuliita "Jeshi la Kubomoa Taifa" nk.Ni kwanini wasitueleze alipo Roma mpaka familia zikae chini kumtafuta mtu wao?.
Kulinda Raia na Mali zao maana yake nini?.Au ni kutunga vyombo visivyomudu kusimamia Maslahi yetu?.
So sad.
Ajifunze nin!??Diamond ajifunze
Swissme
Heshima Mkuu!Binadamu hutegemea matukio ya wengne kama fursa na hii ndo inatupelekea kuacha kutafuta suruhisho tutatafuta umarufu mungu tupe uvumilivu mungu tupe macho tuone mungu mwokoe mja wako popote alipo
Nimekuelewa mkuuHeshima Mkuu!
Naomba nikushauri jambo.Unapoandika jina la Mungu,Yesu nk ujaribu kuandika kwa herufi kubwa.Aidha Mungu au MUNGU na siyo mungu.Unapoandika kwa herufi ndogo tafsiri inabadilika na kuwa "Si muumbaji".Mungu ya herufi kubwa anakuwa ni "Muumbaji".
Nilifundishwa zamani sana na Mwalimu wangu wa darasa la 1, 2, 3.Sijui kama soma la muandiko bado lipo nkipindi hiki.
Heshima Mkuu!Tumebaki kuwa watu wa matukio kwa kupunguza stress za ugumu wa maisha...haisaidii lolote ktk maendeleo ya Tanzania...tuachane na matukio yasiyokuwa na tija...tufanye kazi.
Barikiwa sana.Nimekuelewa mkuu
AmenBarikiwa sana.