mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Apr 10, 2017 Thread starter #41 Daby said: Kuna mtu kaniambia kuna kipande kabla ya kukamatwa tongwe walikuwa wanakirekod ssa najaribu kukitafuta sikipatiii Click to expand... Mi mwwnyewe nimeskia io
Daby said: Kuna mtu kaniambia kuna kipande kabla ya kukamatwa tongwe walikuwa wanakirekod ssa najaribu kukitafuta sikipatiii Click to expand... Mi mwwnyewe nimeskia io
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,439 Reaction score 1,962 Apr 11, 2017 #42 liljustine21 said: Msanii mchanga atoa wimbo wenye maudhui kama nyimbo nyingi za roma... Maoni yangu wasanii waungane watoe nyimbo kwa pamoja bila kuigopa sekretari Click to expand... Bahati mbaya wasanii hawatulii kuimba mambo ya maana bali ni kukurupuka wimbo wiki moja hauna mvuto tena. Wizara ya Wasanii hebu iwakusanye na kuwaita magwiji wa muziki wawaeleze nyimbo miaka 50m bado zinapendwa!
liljustine21 said: Msanii mchanga atoa wimbo wenye maudhui kama nyimbo nyingi za roma... Maoni yangu wasanii waungane watoe nyimbo kwa pamoja bila kuigopa sekretari Click to expand... Bahati mbaya wasanii hawatulii kuimba mambo ya maana bali ni kukurupuka wimbo wiki moja hauna mvuto tena. Wizara ya Wasanii hebu iwakusanye na kuwaita magwiji wa muziki wawaeleze nyimbo miaka 50m bado zinapendwa!
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Apr 11, 2017 #43 liljustine21 said: Unaweza udownload mkuu Click to expand... Unaitwaje niudownload mkuu