Wimbo Mpya: Mkubwa na Wanawe - Niseme

Hii dhana ya mtu kula kula menda na inzi kufia kwenye kidonda sijui inaelewekaje
 
Hii dhana ya mtu kula kula menda na inzi kufia kwenye kidonda sijui inaelewekaje

Kula milenda ni kukiss mdomoni, Enock Bella anasema kuwa sio ufala ila ni kupenda tu...
 
Kuna huo wimbo umeimbwa na yamoto band mkubwa na wanawe umenifurahisha sana sasa sijui kama wapo wanawake wanafanya mambo wazi mpaka watoto wanajua.
 
Seeeeeeeeeema ..........nikusute wewe unafungua thread kama wote tunajua unawaza nini au tupo na wewe tunasikia wote huo wimbo embu funguka huko mwone kwanza
 
cheki hiyo video useme mwenyewe
[video]http://www.bongo5.com/new-video-yamoto-band-niseme-09-2014/[/video]
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…