mkuu id yakoinatamkwaje?
"Baki na mimi mimi , mwingine wa nini mimi naogopa maradhi ndio mana nipo makini mimi ":A S thumbs_up:
cheki hiyo video useme mwenyewe
[video]http://www.bongo5.com/new-video-yamoto-band-niseme-09-2014/[/video]
hawa ndooo magaidi, hakuna kitufe cha kumripoti kwa mods apewe banmkuu id yakoinatamkwaje?
hawa ndooo magaidi, hakuna kitufe cha kumripoti kwa mods apewe ban
calm down dada angu, Mungu hapendi
- Jumamosi watapiga kwenye Miss Redds Ilala 2014 at Kempisk Hotel
Le Mutuz
Vijana wanakuja vibaya wawe makini tu wasikubali shoo za wanigeria mradi waende ulaya kwa 3200?
Mama na Mjomba Jitu wamepigana...
....katoka kazini zawadi mkononi.kaleta na ungoo...