Wimbo mpya wa Alikiba aliomshirikisha Cabo Snoop

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
hatimae alikiba atoa wimbo wake mpya, kamshirikisha cabo snoop...upate hapa.

Mmmmh Mi si comment chochote!
Labda Nifah atakua amesisimuliwa kama anavyoimba
 
Cabo Snoop ndio huyo mzungu? Anyway, huu wimbo Diamond atasubiri sana.
 
Kiba ana sauti moja matata sana, personally sijaupenda labda nikiusikiliza sana napenda zaidi akiimba style za aje.
 
Unamaanisha muda gani?
Miaka mitatu nyuma au minne sina kumbukumbu ya exactly ni muda gani but kipindi cobbo snoop katoka na windek alipata show bongo ndio muda huohuo wakaifyatua hyo nyimbo... Pia hata ukiingia google utaona hyo nyimbo sio official

Ila ingia youtube

Yakitambo sana hata kipindi Tv one inaanza kulusha matangazo yake washatumia baazi ya vipande vya hiyo nyimbo mbaya.
 
Wimbo huo.wa kitambo sana na demo yake ninayo toka enzi zile za prakatumba
 
Yakitambo sana hata kipindi Tv one inaanza kulusha matangazo yake washatumia baazi ya vipande vya hiyo nyimbo mbaya.
Yeah tena ilikuwaga demo,enzi zile kafulia anasema kastaafu muziki
 
Kwa mond atasubili sana mi nilikuwa naona vip angeacha tu kuimba akafanya mambo mengne yaan astaafu tu music maana saiv kiba ndo anaharibu kabisa her kipnd kile,acha bro tunza heshima yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…