kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
WCB mwaka uu walishatoa ngoma funika kama zoote mwaka huu alikiba ngoma yake itakua ya msimuuu tuu ngoma kama #kwangaru ndio nyimbo bora mwaka huu ii inaweza ikawa haina mpinzani asee
Sawa mlizi mwezanguhata Mimi naupenda
Vilabuni+kelele za walevi......baa+kelele za wanywa pombe......boda boda+kelele za ekzost =0......huwezi kusikikia wimbo mzuriSijui kwann maana huku kwetu sio vilabuni,baa na bodaboda karibu wote ni diamond,harmonize na rayvanny mpaka huwa nasahau Kama Kuna wasanii wengine
Huyu jamaa wa tetema ametisha mbaya mbovu, halafu never never mtoto wa mtwara ni kila kona