Tupe link
Me ni fan wake ila sijapenda huu wimbo. Wimbo mbayaaaa vigodoro amuachie shilole.
Hili jamaa lenye domokubwa ka katun ya chai jaba kweli jizi, tena jizi la mchana kweupe kabisa, yaani bila ya aibu linaiba wimbo wa mtu mwingine na kuutangaza wa kwake? au linajivunia huo umaarufu wake uchwara? Kitorondo ni wimbo alioimba Dogo Aslay.
Mbona umepaniki kiasi hiki? Mbona matusi?Hili jamaa lenye domokubwa ka katun ya chai jaba kweli jizi, tena jizi la mchana kweupe kabisa, yaani bila ya aibu linaiba wimbo wa mtu mwingine na kuutangaza wa kwake? au linajivunia huo umaarufu wake uchwara? Kitorondo ni wimbo alioimba Dogo Aslay.
Mbona umepaniki kiasi hiki? Mbona matusi?
Mmmh weka ushahidi hapa wa wimbo wa Aslay!
Sasa huu wimbo utakuwa nA watu wangapi? Nasikia na Wababa nae kasema wa kwake.
Sir Good weka ushahidi.
Naomba link mkuu
Mkuu, Mbona the songs are different??? Au jina la kitorondo??? Naomba unieleweshe mkuu