Two dimension array JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,592 Reaction score 2,381 May 17, 2019 #1 Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa kadhaa views zaidi ya million 1
Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa kadhaa views zaidi ya million 1